Jeremiah 21:1

Mungu Anakataa Ombi La Sedekia

1 aNeno lilimjia Yeremia kutoka kwa Bwana wakati Mfalme Sedekia alipowatuma Pashuri mwana wa Malkiya, na kuhani Sefania mwana wa Maaseya kwake, kusema:
Copyright information for SwhNEN